Simba SC Tanzania
Simba SC Tanzania
  • 2 414 Videos
  • 75 605 479 ์กฐํšŒ์ˆ˜
KIKOSI KIMEFANYA MAZOEZI YA MWISHO TAYARI KWA MCHEZO WA FAINALI DHIDI YA AZAM FC | MUUNGANO CUP 2024
SUBSCRIBE NOW:
โ–ถt.ly/uwYW7
๐ŸŒ Site: simbasc.co.tz/
๐Ÿ“ฑ App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213
๐Ÿ“ฑ App: Android User: play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1
๐Ÿ”ต Facebook: simbatanzania/
๐Ÿ“ธ Instagram: simbasctanzania
๐• Twitter: SimbaSCTanzania
๐ŸŽถ Tiktok: www.tiktok.com/@simbascofficial
About the Official Simba SC KRplus Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
๐Ÿ”ต๐Ÿ”ดโšช #NguvuMoja #Wenyenchi
์กฐํšŒ์ˆ˜: 2 550

๋น„๋””์˜ค

KIKOSI CHA SIMBA QUEENS KILIVYOWASILI UWANJAN KUWAVAA YANGA PRINCESS
์กฐํšŒ์ˆ˜ 3.5K2 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
MAGOLI YOTE KVZ {0} VS SIMBA SC {2} | MUUNGANO CUP 2024
์กฐํšŒ์ˆ˜ 14K2 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
KIKOSI KIMEWASILI ZANZIBAR TAYARI KWA MASHINDANO YA MUUNGANO CUP
์กฐํšŒ์ˆ˜ 10K7 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
#KEYMOMENTS: YANGA SC VS SIMBA SC | LIGI KUU YA NBC 2023/24 | APRIL 20
์กฐํšŒ์ˆ˜ 3.3K9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
SIMBA NGUVU MOJA | TUTARUDI TUKIWA IMARA ZAIDI | MIMI NI SIMBA | MAKALA
์กฐํšŒ์ˆ˜ 10K12 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
GOLI LA FREDDY MICHAEL DHIDI YA YANGA SC LIGI KUU YA NBC 2023/24
์กฐํšŒ์ˆ˜ 18K14 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
KIKOSI KIMEWASILI UWANJANI TAYARI KWA MCHEZO WA DERBY DHIDI YA MTANI
์กฐํšŒ์ˆ˜ 14K14 ์‹œ๊ฐ„ ์ „
#KEYMOMENTS KIBU DENIS VS YANGA SC
์กฐํšŒ์ˆ˜ 4.1K21 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

๋Œ“๊ธ€

  • @user-ty9yg8fg9g
    @user-ty9yg8fg9g 20 ๋ถ„ ์ „

    Umepata pa kujificha semaji Lakini hicho kichaka mbona unaonekana??

  • @ROTIKENKILITIA
    @ROTIKENKILITIA ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Huyu ndio mwamba mwenyewe ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… na abaki simba bora saidoo awondoke

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 3 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Leo tinafungwa wana simba amini tusiende na matokeo

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 7 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Azam nanyi twasubiri Bango lenu. Maana mmepata mtelemko!! labda mshindwe wenyewe. Ila mtakua watu waajabu mkindwa kufunga Timu inayoongozwa na Matapeli Try-again, Mangungu, Kajula na Asha Baraka. Bila kusahau msemaji wao mwenye porojo nyingi

    • @storytime1204
      @storytime1204 3 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

      Walipoifunga vyura fc mbona awakuweka bango?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Azam sio wa washamba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚na sio malimbukeni kama nyuma mwiko, team ukubwa ushindi ni kawaida tu awaweki mabango๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ingetaka ingeweka simba zile goli 7 kwa horoya๐Ÿ˜‚au zile 4 kwa yanga๐Ÿ˜‚

  • @OneliaLuvanda
    @OneliaLuvanda 8 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Miaka mingapi unasimama mbele na kuongea ayo maneno yako,na mnatengeneza kwa moaka mingapi,jifunzeni kwa Yanga angalieni ubora cufu yanga atawapita na atanza kuingia nusu ya cufu

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 8 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Tatizo siyo majungu porojo

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Bila chama duuuh,, bora ht inonga fundo yupo

  • @michaelamon2437
    @michaelamon2437 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Yani kama onana anazidiwa na kibu uwezo ni vyema kumpa thank you tu hamna kituu

  • @michaelamon2437
    @michaelamon2437 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Kanoute anaumwa au vp au ni mwoga mbona.kuna moment anajificha haombi mpira na yupo on space daah kwenye hii timu kuna shida mahali

  • @michaelamon2437
    @michaelamon2437 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Kibu na saidoo wana bifuu au mbonaa hawana ushirikiano na wanacheza kibinafsi haki ya nani ningekuwa kiongozi hapo simba, simba ingenyooka

  • @michaelamon2437
    @michaelamon2437 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Wachezaji wetu wazawaa ni mzigoo sanaa yaani mpira hakuna ni aibu kwakwelii

  • @user-je7gr4jv8o
    @user-je7gr4jv8o 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Muwe mnawapeleka ata jimmu

  • @SHERANasibu
    @SHERANasibu 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Toka apa na likipara lakoo achia tim ww ndo una leta siasa kwenye mpira kwanza usha zeeka sas achia vijana wanaojua sokkaaa umejipanga umeona uje kutudanganya hamna munga tena Tz watu niwasomi ww usha ongoza hovyooo inabid uondoke kilaki2 kina mwanzo na mwsho

  • @SHERANasibu
    @SHERANasibu 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Toka apa na likipara lakoo achia tim ww ndo una leta siasa kwenye mpira kwanza usha zeeka sas achia vijana wanaojua sokkaaa umejipanga umeona uje kutudanganya hamna munga tena Tz watu niwasomi ww usha ongoza hovyooo inabid uondoke kilaki2 kina mwanzo na mwsho 3:36 3:36 3:36

  • @SHERANasibu
    @SHERANasibu 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Toka apa na likipara lakoo achia tim ww ndo una leta siasa kwenye mpira kwanza usha zeeka sas achia vijana wanaojua sokkaaa umejipanga umeona uje kutudanganya hamna munga tena Tz watu niwasomi ww usha ongoza hovyooo inabid uondoke kilaki2 kina mwanzo na mwsho

  • @SHERANasibu
    @SHERANasibu 9 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Toka na likipara lako tuachie Tim yetu usha zeeka usitak kuletea siasaa soka halitak siasa achia tim vijanaaaaaaaa usipiteee mtaan kwetuuu

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 10 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    lindeni goli jamani nawaomba wachezaji

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 10 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Yn hii Tim Ili irudi kweny makal yk fukuz viongoz wot na badh ya wachezj waondk

  • @LauMjanja
    @LauMjanja 11 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Natamani barua na chasambi waanze babu wa burundi aungane na boko

  • @Samsonilaizer
    @Samsonilaizer 11 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    ๐Ÿฆ๐Ÿฆโคโคโค๐Ÿ™

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g 11 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    โคโคโคโคโค

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 11 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Wewe matolla ndio.unaiangusha simba. Kila ukirudi benchi simba huwa haipati matokeo. Wewe unaongelea saido wakati mashabiki hawamtaki saido anaigharimu timu. Utaondoka na benchika endeleeni kumtumia saido.

  • @igigigigivig9112
    @igigigigivig9112 11 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Kesho barua aanze nimda hajacheza jaman

  • @HafidhiAthuman
    @HafidhiAthuman 11 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    oya uyu mzee mbon haelewek mzee chenga kwel

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 12 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Simba nguvu moja๐Ÿ’ช

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 12 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Mgunda kwann kapew wanawke wakat anafaa sana kwa wanaume. All the best Simba siku ya kesho

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 12 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Tumepiga back back kwa simba queens ๐Ÿคด ๐Ÿคด๐Ÿคด๐Ÿคด๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 12 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Benchika mungu kakusaidia kupanga team kesho. Ndio ujue kesho first 11 inatoka wapi. Ila usiogope assume chama, saidoo na inonga wapo bench. Usiseme injuries utapagawa.

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 12 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Simba jamani huyo.matola anafanya nn simba.wakati.mashabiki hawamtaki

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Wanaougua mungu awaponye lkn naamini mliopo muonyeshe ufundi ili wanaoumwa nao wasijione vifaa saana

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Zimbwe nakukubali wewe na chemalon na Ayoub.

  • @shijaIsa
    @shijaIsa 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Kichwa majiii ww hatukutaki hataujisafishe vipi kawaambiy familia yako

  • @user-qu5lf9cl4n
    @user-qu5lf9cl4n 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Jamani pambaneni Kwa kuji toa hasa nyinyi wa wazawa ndio mnajua maana ya roho ya time yetu ya Simba mkishindwa kufungwa Bora muende matuta punguzeni presha hapo niwetu

  • @hidayakiwise-wg5vl
    @hidayakiwise-wg5vl 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Mi moyo umeshazoea kuumiza Wacha iniuwe tu Sina jinsi najiandaa tu kulia furaha imeshapotea kwetu wapenzi wa simba

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Me nilisema hizi gemu ambazo hazina maana ndio wachezaji wanaumia

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 13 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Me nilisema hizi gemu ambazo hazina maana ndio wachezaji wanaumia

  • @Franccoz
    @Franccoz 14 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    SAIDO WA NINI HATUTAKI HATA KUMSIKIA NDOO ANAYE UA VIPAJI VYA VIJANAA SIMBA

  • @johnmapunda3683
    @johnmapunda3683 14 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Kwahiyo ndio umeachiwa timu?mm sina iman na wewe.hapo kuna wachezaj wako tutawaona Mzamiru& Kennedy ๐Ÿ˜ข. Kila mwalimu anaondoka tatizo nn Simba?

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 14 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Imeenda wapi Simba yangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 14 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Hatuku tak mbona umeganda

  • @baharanimasoud
    @baharanimasoud 15 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Mmefeli nyiee njoooni mpumzike msubiliee mwakanii

  • @user-lz3gf7tf4k
    @user-lz3gf7tf4k 15 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Utashangaa wanamuacha Luis Simba wakimuacha miqson nawaona wasenge sana

  • @user-zw6hk9rl8d
    @user-zw6hk9rl8d 15 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Congratulations to you brother๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰

  • @AnnastaziaMrina
    @AnnastaziaMrina 15 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    All the best my team .....hope kesho tutafurahi.Chama,Henonga ,Saido ugueni pole tunawapendaโคโคโคโค

  • @pelagiamachalo3350
    @pelagiamachalo3350 15 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Nguvu moja

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 15 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    Timu yetu ni mbovu tu hakuna cha maana.. kesho timu ikishinda ndio mutaona majigambo na kuwahadaa mashabiki na wananchi kuwa timu ina wachezaji wa maana . Kesho tufungwe na mwakani hakuna ubingwa kila msimu kusajili ujinga ujinga ndio matunda yake haya hali ya timu inavyoonekana

  • @KhadijaAlly-bp2fr
    @KhadijaAlly-bp2fr 16 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    mnatuboa bwana

  • @user-xp3vi3wc8p
    @user-xp3vi3wc8p 16 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    anajua vibaya mno

  • @user-xp3vi3wc8p
    @user-xp3vi3wc8p 16 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    โคโคโค

  • @jumaMohammedi-rt2ys
    @jumaMohammedi-rt2ys 16 ์‹œ๊ฐ„ ์ „

    2naipend simb ila kk ze2 jitahidin msi2angush maan azam nitim bor kazen buti2 msikat tamaa