Viongozi Kisii wahimiza mazungumzo na madaktari

공유
소스 코드
  • 게시일 2024. 03. 28.
  • Viongozi wa kaunti ya Kisii wamesikitikia hali katika hospitali mbalimbali nchini kufuatia mgomo wa madaktari unaoendelea kulemaza utoaji wa huduma za afya kwa siku ya 16 sasa. Viongozi hao akiwemo mwakilishi wa kike wa kaunti hiyo Dorice Aburi walikuwa wakizungumza katika eneo la Bobaracho kwenye hafla ya kuwasaidia wasiojiweza msimu huu wa pasaka.

댓글 •