HIGHLIGHTS: SIMBA SC U20 {5} VS AZAM FC U20 {2} | LIGI KUU YA VIJANA U20

๊ณต์œ 
์†Œ์Šค ์ฝ”๋“œ
  • ๊ฒŒ์‹œ์ผ 2024. 03. 19.
  • SUBSCRIBE NOW:
    โ–ถt.ly/uwYW7
    ๐ŸŒ Site: simbasc.co.tz/
    ๐Ÿ“ฑ App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    ๐Ÿ“ฑ App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    ๐Ÿ”ต Facebook: / simbatanzania
    ๐Ÿ“ธ Instagram: / simbasctanzania
    ๐• Twitter: / simbasctanzania
    ๐ŸŽถ Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC KRplus Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ดโšช #NguvuMoja #Wenyenchi
  • ์Šคํฌ์ธ 

๋Œ“๊ธ€ • 92

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Alhamdulilah rabil allaamiyn,, hongereni vijana #simbasc

  • @issackmtuly1890
    @issackmtuly1890 ๊ฐœ์›” ์ „ +4

    Simba nguvu moja

  • @JustinbJustinbChristian-jy6dq
    @JustinbJustinbChristian-jy6dq ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Bravo watoto wanajitaidi

  • @MasturaMaico
    @MasturaMaico ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Kipa wetu Simba kanajitahid

  • @AllenIssae-ed8tv
    @AllenIssae-ed8tv ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Simbaaaaaaaaa hamna k2

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ๊ฐœ์›” ์ „ +2

    Hongera Kwa ushindi.ushauri wangu timu hii ndo Simba ya baadae so inabidi nguvu za ziada zitumike kuwacoach vijana wapige pasi nyingi

  • @AhmadiIsmail-yd5jp
    @AhmadiIsmail-yd5jp ๊ฐœ์›” ์ „ +5

    Azam wanacheza vizuri wakati washakula chuma 5 kucheza kwao vizuri kumewasaidia Nini? Iyo inaitwa vyenga twawala๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

  • @emiliuskifigo3062
    @emiliuskifigo3062 ๊ฐœ์›” ์ „ +4

    Azam wamecheza vizurii

  • @Franccoz
    @Franccoz ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Azam wako vizuri,vijana wetu papatu,papatu sanaa

    • @ammyjr...bestgamer4640
      @ammyjr...bestgamer4640 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

      kuchez vzur ndo kushinda au ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ papatupapatu haijawah kucreate chance tano hata siku ngap

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    โ™ฅ๏ธโ™ฅ๏ธ๐Ÿฆ๐Ÿ’ช 1

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 ๊ฐœ์›” ์ „

    Azamu wanacheza vizuri Sanaa๐Ÿ‘๐Ÿ‘

  • @bellenoe414
    @bellenoe414 ๊ฐœ์›” ์ „

    Kelele

  • @officialbigvanny8296
    @officialbigvanny8296 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Simba Bado sana, Azam wanacheza mpira

  • @japhetdeus4520
    @japhetdeus4520 ๊ฐœ์›” ์ „

    Pamoja naushindi Mimi nisimba irawenye jezi yaburuu wanacheza mpira wakuvutia Sana sasa Simba waongeze utamu wampira miguuni

  • @raphaelhombo5060
    @raphaelhombo5060 ๊ฐœ์›” ์ „

    Simba yetu hii ys madogo imerithi kwa wakubwa pia๐Ÿ˜ข

  • @Samsonilaizer
    @Samsonilaizer ๊ฐœ์›” ์ „

    ๐Ÿฆโคโคโคโคโค๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

  • @salumujuma
    @salumujuma ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Azam wako vizuri zaidi hata pas zao zinafika na wanajituma kutafuta na kuumiliki mpira japo wamefungwa

  • @emmatheboss1846
    @emmatheboss1846 ๊ฐœ์›” ์ „

    ๐Ÿ˜ฎ

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 ๊ฐœ์›” ์ „

    Azam wanachez vzr sana kwa mpangilio.... Hawa Simba butuabutua kama kaka zao

  • @josephsabuni795
    @josephsabuni795 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Umeangalia dk 7 unaleta porojo humu... vitu vingine bora upige kimya...

  • @elishabwilukiro6746
    @elishabwilukiro6746 ๊ฐœ์›” ์ „ +2

    Mmeshinda.. Ila Azam wanacheza vizur san

  • @Our_Patriotism
    @Our_Patriotism ๊ฐœ์›” ์ „

    Simba hawachezi vzr na mimi ni mwanachama nasema ukweli.

  • @user-td1ht9hu7j
    @user-td1ht9hu7j ๊ฐœ์›” ์ „

    Simba ata yanga timu ndogo bado sanaaa waendelee kujitafuta kwa sasa bado utopolo2

  • @alexlusaka1315
    @alexlusaka1315 ๊ฐœ์›” ์ „

    Vijana wa Azam wako vzr,simba yetu papatu papatu tu,kudrible n hawawezi hakuna pasi zaid ya mbili mtu kapoteza mpira by the way ushindi muhimu naamin mengine yatawekwa sawa kwenye viwanja vya mazoez

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Naona azam wana mpira muda wote๐Ÿ˜ข

  • @ammyjr...bestgamer4640
    @ammyjr...bestgamer4640 ๊ฐœ์›” ์ „

    timu inamoral saf sana

  • @abuushaymaatzkajoki7107
    @abuushaymaatzkajoki7107 ๊ฐœ์›” ์ „

    Mimi Simba but Azam wanacheza mpira mziri mno

  • @linusrichy6639
    @linusrichy6639 ๊ฐœ์›” ์ „

    Mbona azam wanacheza vizur sna

  • @raphaelhombo5060
    @raphaelhombo5060 ๊ฐœ์›” ์ „

    Kwa wachezaji hawa Jina la simba litashuka ,,madogo wanakimbizwa na wenzao wa azam,,dahh simba ijitafakari ,,,

  • @elisharaphael8680
    @elisharaphael8680 ๊ฐœ์›” ์ „ +2

    Hii timu ya vijana hamna kitu

  • @munaissa2529
    @munaissa2529 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Timu za vijana za Simba hawachezi kitimu wanacheza kibinafsi ili kila mtu atoke yeye,cheki Azam wanavyopiga ball

    • @fatumamakoye5711
      @fatumamakoye5711 ๊ฐœ์›” ์ „

      kwaio mchezaj anatok mwenyew kwa kipa anakuja kufunga peke ake au

  • @kigotymeentertainmentkigoy4858
    @kigotymeentertainmentkigoy4858 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Ukweli usemwe hii timu ya vijana ya simba bado sana wanaruka ruka tu, hebu ona wenzetu azama wanavyoenjoy mpira wanacheza unaona kabisa wanataka nini

    • @iddynovo6219
      @iddynovo6219 ๊ฐœ์›” ์ „

      Hii video imetengenezwa na Azam Fc kwaiyo wanaweka marudio Yao kuliko ya Simba

  • @AthmanAmadi
    @AthmanAmadi ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Chukueni vijana wenye uwezo hawa miracle kila viwango vyao viko chini

    • @barakafanuel5015
      @barakafanuel5015 ๊ฐœ์›” ์ „

      Kwanini wewe usichukue wachezaji bora ukaanzisha timu yako. Wenye miracle

  • @fidmpogo3897
    @fidmpogo3897 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Mkatafute vijana vijijini huko , siyo mna tafuta watu kwa kujuana, nendeni shamba la vipaji morogoro.

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 ๊ฐœ์›” ์ „

    Derby kama Derby

  • @godsonemmanuel248
    @godsonemmanuel248 ๊ฐœ์›” ์ „

    Azam wamecheza vizur japo kadi imewaangusha,simba wajipange hawana mpira mzuri ukilinganisha na azam

  • @bonshag1
    @bonshag1 ๊ฐœ์›” ์ „

    Naona Kila mtu anakuja hapa na kusema timu haina muunganiko nimkwelinila angalia miundombinu ambayo azam wameweka watt wakanaa pamoja muda mrefu lazima uone muunganiko ila sisi Kila siku wanakuja wapya maana watt kama Hawa inabidi uwaweke pamoja muda mrefu na wawe wamepitia misingi ya soka toka wadogo najua ni ngumu ila ndiy vision ya Simba kwa sasa.

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 ๊ฐœ์›” ์ „

    uwanja gani huu?

  • @tajirifundi
    @tajirifundi ๊ฐœ์›” ์ „

    Makocha wa simbs wa hawa vijana hawana wanachokifundisha huwezi hata kufikiri kama timu ina kocha

  • @alifredmkoka
    @alifredmkoka ๊ฐœ์›” ์ „

    Tumeshinda ni jambo zuri ila Timu bado hatujapata, Uchezaji ni wakawaida mno sio kama Azam walivyocheza inabidi vijana wapigizwe mzigo hasa make sion kama wanacheza kitimu

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu ๊ฐœ์›” ์ „

    Mbona na ona Kuna mijengo ndani,ya fence au mimacho yangu.

    • @jamesjoseph9708
      @jamesjoseph9708 ๊ฐœ์›” ์ „

      NI Sahihi ni Majengo ya TFF nadhani ni Hostel Hicho ni Kituo cha TFF

  • @RobertAlbert-lq6cj
    @RobertAlbert-lq6cj ๊ฐœ์›” ์ „

    Mwalimu wa timu yetu kwa Sasa ni nani?

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ๊ฐœ์›” ์ „

    Mimi Simba ila kiukweli hao madogo wa AZAM wana mpira wakuvutia kabisa nimependa japo wamefungwa wanajua

  • @mwl.elishafredrickmwambeng8921
    @mwl.elishafredrickmwambeng8921 ๊ฐœ์›” ์ „

    To be honest Mo dewji anatakiwa aangalie watu walioaminiwa SIMBA B hizi... Timu imeshinda ila haionyeshi pattern uko Simba B ndo Kwa kujenga falsafa ya timu na mwelekeo sahihi WA timu Azam wamefungwa ila unaona wana future

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya ๊ฐœ์›” ์ „

    Hiiiiiiiii vijana wamefufu hawa,,,,, kuwafunga azam mhhh

  • @emiliuskifigo3062
    @emiliuskifigo3062 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

    Hamna kitu apooo

  • @zainabmmary8509
    @zainabmmary8509 ๊ฐœ์›” ์ „

    simba dah๐Ÿ˜‚ scouting yao ndo hadi kwa vijana mbovu

  • @kalongolakisendu9618
    @kalongolakisendu9618 ๊ฐœ์›” ์ „

    hao under 20 sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mikubwa iyoo

  • @istiqaamadar7493
    @istiqaamadar7493 ๊ฐœ์›” ์ „ +10

    timu haiko well organized inachezea jina but azam wanacheza kwa kutengeneza mipango mizuri inaonekana kuanzia chini mpk juuu

  • @AllykhamisAlly-nq5jk
    @AllykhamisAlly-nq5jk ๊ฐœ์›” ์ „

    Hii inaitwa chenga tun'wala ila magoli tunfungwa

  • @monifrank347
    @monifrank347 ๊ฐœ์›” ์ „

    Huu uwanja ndy wa bunju?

  • @fridaphilemon8898
    @fridaphilemon8898 ๊ฐœ์›” ์ „

    Watu wanamzuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

  • @raymondjude6088
    @raymondjude6088 ๊ฐœ์›” ์ „

    Viwanja vya wapi kwani

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 ๊ฐœ์›” ์ „

    Tusaidieni jamani, ni kiwanja Gani hiki?

  • @DM_15
    @DM_15 ๊ฐœ์›” ์ „

    Viongoz wa simba hebu chukueni vijana wenye uwezobwana hii tim hamnakitu kabisa

    • @user-tg3st6li2q
      @user-tg3st6li2q ๊ฐœ์›” ์ „ +1

      Sasa imepataje hayo matokeo

    • @ousmanesaidy8327
      @ousmanesaidy8327 ๊ฐœ์›” ์ „ +1

      wanatengeneza timu utachukua mtu anamika 25 alafu useme anamiaka 20

    • @DM_15
      @DM_15 ๊ฐœ์›” ์ „

      @@user-tg3st6li2q wewe unaangalia magoli sio hiisio senior team useme tua shangilia matokeo hiinitim ambayo miakamiwilituuhapo wanakua watuwazima. Tim inavyocheza hairidhish huwez linganisha na Azam azam wanavyocheza unaonakabisa wnacheza kwanidhamu wameshiba mafunzo unadhani hawa Azam baada yamiaka miwili siwatakua mamelod kabisahawa kama Mungau akawaweka wakendahivi wanavyo cheza Azamu nimoto wakuotea mbali. Mwishowasiku vilabu vikubwa vinakimbia kuwanunua halafu hawa wasimba wana achwa bure . Kunatofauti kubwa sana hapo kama unajicho lampira.